
Asalam aleykum ndugu zangu hongereni kwa kuamua kutimiza nguzo muhimu ya uislam na kufunga mwezi mtukufu.
Kuna jambo huwa linanichanganga tangu nikiwa mtoto juu ya dini yetu hii ya kweli.
Inakuwaje Mungu ampe mwanamke mzunguko wa hedhi kila mwezi halafu atoe mashariti ya mwanamke huyo kutoshika kitabu chake yaani Quran? Kuna uhusiano gani hapo? Kwa maana hutakiwi kumuabudu Mungu ukiwa kwenye hali hii? Hadi kufunga hutakiwi?
Haaa yaani hadi Mungu anatutenga wanadamu itakuwaje??
Uhusiano hapo uko wapi hedhi na kushika Qurani na kuswali jamaa??