
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI
Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na
kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo
yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa
vya kitaalam bandarini humo?
Tags
MADAWA YA KULEVYA