BANDA MEDIA BLOG

Mwigulu: Nilitegemea Mawakili Wakubwa na Wasomi Kama Lissu Wajitokeze na Kuanza Kuwashitaki ACACIA..!!!


Akiwa Singida Mwigulu Nchemba amesema watu wa Singida wana matatizo kidogo kutokana na Kaka yao, Mwanasheria Tundu Lissu kutetea watu wanaoibia rasilimali za Tanzania na kutishia tutashitakiwa.
Amesema pia alitegemea mawakili wakubwa na wasomi wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG