BANDA MEDIA BLOG

NYUMBANI TOUR YA RASI FM YAFUMANIA WAJASIRIAMALI KATIKA GULIO LA KILA JUMATATU KATIKA MJI MDOGO WA KIBAIGWA

Wachuuzi wa Samaki wakiendelea kukaanga na kuuza katika Gulio linalofanyika kila Jumatatu Mji Mdogo Kibaigwa
Wakazi wa Mji Mdogo wa Kibaigwa Wakipata Pombe za Kienyeji huku wakiwa na watoto wao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika Gulio la kila Jumatatu linafanyika katika mji huo

Mamia ya Wakazi wa Kibaigwa na viunga vyake wakinunua mahataji mbalimbali katika Gulio lakila Jumatatu ambalo pia limefanyika siku ya Eid [PICHA ZOTE NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]
Samaki Gulioni Hapo
Mitumba

Wakati hayo yakiendelea katika mji huo Rasi FM Radio nao wamevamia, na huyu ni Mtangazaji Baraka Gangata akizungumza jambo na wakazi hao kuhusu uzinduzi wa nyumbani tour


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG