Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Bi. Amina Kiwanuka
akieleza utekelezaji wa masuala ya kiutumishi katika eneo lake la kwa
Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
waliomtembelea ofisini kwake leo alasiri kuhimiza uwajibikaji ni sehemu
ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.

Viongozi wa
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakizungumza masuala ya
kiutumishi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho
ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2017.
Mkurugenzi wa
Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Ibrahim Mahumi akitoa
ufafanuzi kuhusu taratibu zinazohusu menejimenti ya Rasilimaliwatu
serikalini kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika
Ofisi za Halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Bi. Amina Kiwanuka.