Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Mhandisi
Gerson Lwenge, Balozi wa India hapa Nchini Sandeep Arya, Mkuu wa Mkoa wa
Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo pamoja na Viongozi wengine wa Mkoa wa
Pwani na Serikali akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi Mkubwa
wa Maji wa Ruvu Juu Mlandizi Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Maji Mhandisi
Gerson Lwenge mara baada ya kuzindua rasmi Mradi wa huo wa Upanuzi wa
mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa
DAWASA Mhandisi Archard Mutalemwa mara baada ya kuzindua mradi huo
Mkubwa wa maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hatua za usafishaji wa maji
katika kituo cha kusafisha maji ya Ruvu juu Mlandizi Mkoani Pwani,
kushoto ni Mtendaji mkuu wa DAWASCO Eng. Cyprian Luhemeja akitoa maelezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na Balozi wa
India hapa nchini Sandeep Arya mara baada uzinduzi wa mradi huo mkubwa
wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ujumbe aliotumiwa na Waziri
mkuu wa India Narendra Modi kupitia Luninga kabla ya kudua Mradi huo wa
maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuzindua Mradi wa
maji wa Ruvu juu Mlandizi mkoani Pwani.
Sehemu ya Mradi huo wa maji wa Ruvu juu Mlandizi Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Viwanda
na Biashara Charles Mwijage kabla ya kufungua kiwanda cha Nondo cha
Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeperusha bendera kuashiria
kuiruhusu treni ta TRL kusafirisha nondo kutoka kwenye kiwanda cha Nondo
cha Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine akifungua kiwanda hicho cha nondo.
Tags
RUVU JUU