
Upo ushaidi uliosheheni kuwa ipo colleration kati ya mazingira ya
kufanya biashara, Foreign Direct Investment (FDI) inflows na mambo ya
International Trade performance.
Wito wangu kwa Mheshimiwa Rais, mpe waziri wako wa Biashara ndugu Mwijage siku 5 kama si siku 7 afanye yafuatayo
1. Wizara hii ifanye overhaul ya ICT system kuanzia kwenye ngazi ya kata
mpaka taifa ili iwe rahisi kufungua biashara na isichukue dakika 10 kwa
sabau vitambulisho vyote vipo kwenye sistem. Mtu hahitaji ku saini
makaratasi luluki kufungua kampuni. Kinachohitajika ni ID na malipo
hivyo kila mwenye sim ya mkononi aweze kufungua kampuni ONLINE na
kuregister na TRA pia kusichukue dakika 10 mtu kupata TIN number.
2. Bandari na airport bado ni tatizo, clearence ya mizigo isichukue
zaidi ya dakika 30. hii ni mizigo ya ndani na nje. Yote haya hayahitaki
luluki ya makaratasi kama kweli ICT systems zinafanya kazi...
3. Ondoeni urasimu wa visa za wawekezaji kuungia na kutoka bila
longolongo. As a matter of fact ondoeni visa ya watalii kabisaa....pesa
za visa zitabaki kwenye matumizi wa hawa watalii wakiiingia ndani.
Lakini muhimu zaidi kuna umuhimu wa kuondokana na urasim kwa wageni na
wataliii....
4. Mwambieni waziri wa Ardhi Lukuvi aache blah blah....property
registration ifanywe online kwa kila mwenye kitambulisho na data zote
wekeni ONLINE ili iwe rahisi mtu ku search na kujua kama nyumba au
kiwanja au shamba ni la nani, limelipiwa kodi au la na limelipiwa kiasi
gani na pia kama mu akitaka kulipa afanye malipo ONLINE kwa kutumia sim
yake bila mlolongo wa foleni na mianya ya rushwa kwenda wizara au ofisi
ya ardhi.
5. Ondoeni kodi zisiko na kichwa wala miguu kwenye Renewable energy
sources kama solar, wind na zinginezo. Point hapa ni ku unleash private
sector waweze kuinvest kwenye power generation kwa kutumia hizi nguvu
mbadala. issue ilipo ni kuweka wazi PPA na rates na kama vipi
binafsisheni part ya TANESCO lakini uweli ni kuwa bila reliable
electricy ni ngumu kufika hapo tunakotaka kwenda. As it is TANESCO
hawana pesa za kuinvest in power generation lakini si vibaya tukapata
workable solution ambayo itakuwa na manufaa kwa wawekezani na serikali
na wananchi...
6. Rahisisheni upatikanaji wa documentation za contruction permits.
7. Ombi maalum kwa rais: Iachie wizara ya TAMISEMI ifanyekazi na wapeni
wananchi kwenye ngazi za kata, wilaya na mkoa nguvu za kujiamulia
matumizi mambo yao na hasa pesa zitokanazo na vyanzo kwenye maeneo
husika. Dar/Dodoma iache kuingilia mipango maendeleo na investment huko
mikoani
8. Mheshimiwa Rais PIGA MARUFUKU huu ushirikina wa kukimbia na moto wa
mbio za mwenge na pesa za ziende kwenye maendeleo na wananchi wafanye
kazi
Chanzo JF
Tags
RAIS MAGUFULI