
Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.
Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita
mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa
kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu
zifuatazo...
1) Amefiwa na mtu aliyeishi naye pika pakua kwa zaidi ya miaka 10 lakini
alikuwa na nguvu ya kupost picha mtandaoni(Siyo moja)na captions juu
wakati bado mazishi hayajafanyika
2) Jana kwenye kipindi cha Amplifier alihojiwa na Millard na alikuwa
anaonge kwa kujiamini na sauti yake haikusikika kuwa na majonzi hata
kidogo(Note:Angekuwa mwanamke mwingine angekuwa bado yuko down sana na
pengine angeshindwa hata kuongea kwenye Interview)
3) Ni opportunist Mzuri sana,Kama aliweza kuzaa na Ivan watoto watatu na
akapata ujasiri wa kumuacha na kwenda kwa wanaume wengine,,basi hata
Dai anaweza kukuacha vile vile(Anachojua yeye ni kuwa once yo dating a
rich guy,future yako na watotot wako ni ya uhakika)Mfano halisi ni
sasa,aliitwa Zari the boss lady sababu ya jeuri ya fedha za Ivan,now
ataitwa Zari the Don sababu ya jeuri ya fedha za Ivan pia
4) Siamini ndani ya moyo wangu kama Zari alimpenda Diamond kama
Diamond,naamini ile fame ya Dai ndo iliyomvuta yeye kuwa na Dai(Na kwa
hili amefariki,kwa sasa Zari ni moja ya wanawake maarufu sana Africa)So
Dai watch out you never know siku fame ikiisha,je atastick up na wewe au
atamove on huku akiendelea kupata child support?Ukitaka kuprove
hili,jiulize ni kwa nini kipindi kile mna mgogoro mpaka mama Dai
akampost Wema(Japo Maza alifanya uswahili kwa hili) Hujiulizi ni kwa
nini Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado
mdogo sana?
5) Katika malezi nimeona ana mazuri yake kama vile kuwafundisha watotot
wake kujitegemea wakiwa bado wadogo lakini nimegundua pia siyo mama
mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha
anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto
wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu
ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka
yao.
Namalizia kwa kusema hivi,Japo Zari ana roho ngumu lakini ana mazuri
yake pia,Huyu mwanamke ni msafi,unaweza ukathibitisha hili kuptia picha
zake,Sebule yake ni safii,Wardrobe yake poa kabisaa lakini hata yeye
anajipenda sana jao she's acting like an 18 girl wakati ni mama mtu
mzima anayepaswa kukaa akibehave ili wanae wajifunze kutoka kwake.
Chanzo FB