
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi
Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi ,
haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema
tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa
Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani
Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
Chanzo JF