
Usafi kwa mwanamke ni kitu cha msingi sana kwa sababu usafi hupelekea
wanaume tuwe na hamu ya tendo la ndoa mara kwa Mara pale unapokutana na
mwanamke msafi yani anayejua kujiswafi kila kona ya mwili wake.
Maana kila tukumbukapo ule usafi wa ndani hakika hamu nayo huongezeka na
kutamani zaidi. Hata kama uko kazini utakuta unatamani masaa yaende
fasta urudi home.
Pia usafi kwa mwanamke hupunguza harakati za kutafuta mchepuko kiasi
fulani kwa sababu hakuna mwanaume anafurahi kuwa na mwanamke mchafu.
Kwa uzoefu niliyonayo wanaume huwa tunapenda sana wanawake wanaopenda usafi na siyo wanawake wachafu.
Mwanamke muda wote inabidi uwe msafi siyo unakaa siku nzima bila hata
kujiswafi ile mijanaba ya usiku. Kiukweli hii tabia huwa inakera sana.
Inabidi uwe msafi Kwa sababu mna sehemu nyingi zinazohitaji uangalizi na usafi wa hali ya juu mfano.
•Kwapa- nyoa ule uchafu halafu safisha na ondoa ule weusi weusi.
•Mtaroni-Hapa unakuta wengine pamepauka hatari hivyo hakikisha unapaweka safi.
•Jicho linunalo muda wote( Tigo) - hii ni sehemu ya kuwa makini sana
hakikisha hakuna mabaki mabaki. Ukiweza itakuongezea credit kwa mwenzako
pindi mkipeana mambo hasa kwa dogy style.
•Uke- hakikisha hakuna mtindi mtindi mule ndani maana huwa unakera sana
na kabla ya tendo kajiswafi na ujikague vizuri. Pia hakikisha maeneo
yanayozunguka hiyo kitu yako safi yani hakuna vichaka.
•Kanga wiki- hapa ni wale wanawake wanaojifunga kanga hiyo hiyo wiki
nzima bila kuonja maji nalo ni tatizo maana mwisho wa siku huwa inatoa
harufu kali sana.
•Kinywa- kinywa nacho kinahitaji usafi wa hali ya juu. Pia usisahau kuondoa zile rangi mnazopaka midomoni.
Kitu kingine ni pale umetoka kwenye mihangaiko yako unafika tu nyumbani
unawasha feni unapanda kitandani ukisingizia kuwa umechoka utaoga badae
mwisho wa siku usingizi unakupitia.
Hii husababisha kero kubwa sana kwa mwenzako na kamwe huwezi sikia
anakwambia geukia huku au hata kukupapasa akiashiria kuhitaji haki yake
ya ndoa.
Hivyo basi, wale wanawake wanene muwe mnajitahidi sana kushughulikia hayo maeneo.
Kwa wanawake vimbaumbau sina shaka nao kwa usafi ingawa msivimbe vichwa
inabidi muendelee kuwa hivyo hivyo ingawa wapo wasiojali usafi wa miili
yao.
Mwisho, Je ukikutana na mwanamke ambae hajali usafi wa mwili wake
utafanyaje? Na ukizingatia ulishachukua hatua zote za kumsaidia lakini
haelewi na kila ukimkumbusha anachukia. Je utamuacha au utaendelea
kuvumilia uchafu wake.?
Lengo la bandiko hili siyo kudhalilishana bali ni kukumbushana.