Spika wa Wabunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai amemtoa nje ya bunge na nakuamuru asihudhuria vikao kwa siku 7, John Mnyika mbunge wa Kibamba CHADEMA Baada ya kutokea malumbano leo bungeni 
Uamunzi huo umepelekea Wabunge wa upinzani watoka nje ya ukumbi wa Bunge wakipinga uamuzi wa Spika Job Ndugai kumzuia Mbunge John Mnyika asihudhurie vikao kwa siku 7.

Tags
Bungeni