WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU MJINI DODOMA, WFANYA MANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL - FITRI ITAKAYOSHEHEREKEWA KESHO DUNIANI KOTE
byJohn Banda-
0
Muumini wa Dini ya Kiislam akinunua viatu vya mtoto kwa machinga walinaopanga bidhaa hizo One way Mjini Dodoma
Maharagwe na Nyama katika soko la majengo vimeonekana kununuliwa kwa wingi kwa ajili ya maandalizi ya sikuku ya Eid El- Fitri itakayoa adhimishwa hapo kesho Dunia Kote [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG picha zaidi chini
Watoto
wasio na wazazi wanaolelewa na Kituo cha Rahman Chang'ombe Juu nao
wamekumbukwa kwa vyakula na vinywaji na Wanamichezo wa Dodoma Fitness,
Muungano na Kilimani