
Maandamano hayo yalipokelewa na mkuu wa wilaya ya ilala, na katika salamu zake yeye pamoja na RTO wa ilala wamepiga marufuku walinzi shirikishi kukamata bodaboda na badala yake wamewataka wakakamate vibaka na wauza gongo.
Hali kadhalika mkuu wa wilaya ya kinondoni mh Hapi amemaliza mgogoro wa wakazi wa kunduchi machimbo ( mecco) uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 na kuanzia sasa wakazi hao wanaruhusiwa kuendeleza maeneo yao.
Hakika CCM inachanja mbuga wakati Ukawa wakijikongoja jijini Dar es Salaam! Ahsante.
Source ITV habari
Tags
SIASA