BANDA MEDIA BLOG

Dkt. Medard Kalemani apiga marufuku uagizaji wa nguzo za umeme, nyaya na Transfoma nje ya nchi


MEDAD
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufuku uagizaji wa nguzo za umeme, nyaya na transfoma nje ya nchi na kuliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa linanunua vifaa husika kutoka kwa wazalishaji wa ndani.  Dkt.
Kalemani aliyasema hayo wakati wa kikao chake na watendaji wa TANESCO, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wazalishaji wa nguzo za umeme, transfoma na nyaya za umeme kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG