HATIMAYE Barrick Wajisalimisha na Kuanza Mazungumzo Kuhusu Uchimbaji wa Madini Nchini...!
byJohn Banda-
0
Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. John Magufuli imekutana na
Wawakilishi kutoka Barrick Gold Corporation leo kuanza mazungumzo
kuhusu uchimbaji wa madini hapa nchini.