Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi Kijiji Cha Tula
Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa njiani
kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo akiwa njiani katika
moja ya mikutano ya barabarani kwa waliojitokeza Kumsalimia akiwa
njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni
Tabora Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Itigi na
Manyoni wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye
urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia
mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu
Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma
Julai
Wananchi wa Itigi na Manyoni
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni
-Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali
kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya
siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi
Mkoani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa
Singida Dkt Rehema Nchimbi wakati mheshimiwa Rais alipowasili Mkoani
Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya
yenye urefu wa kilometa 89.5aliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia
moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni
Tabora Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa
Mkoa wa Singida,wakiondoa kitambaa kuashiria Kufunguliwa Rasmi kwa
Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5
iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais
alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia
Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida
na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi kwa Barabara
ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa
fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa
akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi
Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo na Mwakilishi wa
Kampuni ya PowerChina International Group Limited nchini Bw. Wang Chao
wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa
kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia
moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni
Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwasalimia kwa
kupunga mikono kwa wananchi wa Itigi na Manyoni walioshiriki na
Kushuhudia Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa
kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia
moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni
Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017
Tags
JPM