WALIOA WAKE WENGI NCHINI CANADA KUFUNGWA JELA MIAKA 5
byJohn Banda-
0
CANADA: Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi.
Mahakama
iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake
24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni mkwe wake James Oler akaoa wanawake
Wote walipatikana na hatia ya shtaka moja la kuwaoa wanawake wengi na kila mmoja anakabiliawa na kifungo cha miaka mitano jela.
Hukumu hiyo imetajwa kuwa mtihani mkubwa kwa uhuru wa kdini nchini Canada.
Blackmore na Oler ni kutokna jamii moja ya dini ya karibu watu 1500 ambayo ilianzishwa mwaka 1946. Haki miliki ya pichaReutersImage caption James Oler akifika kotini Wote
hao walikuwa ni makasisi wa dhehebu lililojitenga kutoka kanisa la
Fundamentalist Church of Jesus Christ of Latter-Day Saints (FLDS)
Bwana Blackmore alifukuzwa kutoka FLDS mwaka 2002 na mahala pake pakachukuliwa na bwana Oler.
Matawi ya dhehebu hilo yako nchini Marekani ambapo kuna wanachama karibu 10,000
Kuoa
wanawake wengi ni haramu chini ya sheria za Canada, Palisi nchini
Canada walianza kuchunguza dhehebuhilo mnamo miaka ya 1990.