Zitto alirudia kauli ya Rais magufuli dhidi ya wale wapinzani ambao Rais aliwaita chama cha wasema sana "Hawa wenzetu chama cha wasema sana wamekasirika kumkarimu Mgeni, walitaka mimi nimseme Rais ila wao akienda Majimboni kwao hawamsemi"
Zitto aliongezea kuwa hawezi kuhangaika na watu wanao mshambulia kwenye mitandao, nakusema kuwa yeye anahangaika na maendeleo ya Jimbo lake.
Tags
ZITO KABWE