Makamu
Mkuu wa Cho Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) ,Prof,Faustine Bee
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya siku moja ya Elimu ya
Ushirika kwa Waaandishi wa Habari wa mkoa wa Kilimanjaro.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ilitolewa na
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) katika Warsha ya
siku moja iliyofanyika chuoni hapo.
Naibu
wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MoCU) Taaluma
Dkt,Kitala Malamsha akizungumza wakati wa ukaribisho wa mgeni rasmi
katika ufunguzi wa warsha ya siku moja ya Elimu ya Ushirika kwa
Waandishi wa Habari.
Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) wakifuatilia mijadla katika warsha hiyo.
Washiriki
wa Warsha ya Elimu ya Ushiriki kwa Waandishi wa Habari wakiwa katika
picha ya pamoja na Mgeni rasmi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika
Moshi (MoCU) Prof ,Faustine Bee.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.