Kama zilivyo dawa nyingine zote, bangi inaathari kwa mwili wa binadamu —
baadhi zenye manufaa lakini nyingine zenye madhara. Ingawa wengi
wanaifahamu kwa athari zake zinazojulikana kama macho mekundu, kuongeza
hamu ya kula, bangi inahusishwa pia na kuweza kupunguza maumivu ya
mwili. Baadhi ya watafiti waliwahi kusema kuwa inasaidia hata kwenye
kudhibiti kuanguka kutokana na ugonjwa wa kifafa.
Zifuatazo ni athari za uvutaji wa bangi kwenye ubongo na mwili wa binadamu: