Jenerali wa Jeshi Ateuliwa na Rais Magufuli Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
byJohn Banda-
0
Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John
Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.