Muwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma ambaye pia ni
Katibu Tawala Msaidizi Sekta ya Mipango na Uratibu Bw.Samweli Tenga
akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa watumiaji wa Mfumo ulioboreshwa
wa kuandaa Mipango na bajeti za Serikali za Mitaa uitwao PlanRep
yanayofanyika Mjini Kigoma kwa siku 8 kuanzia leo. Mkurugenzi …