………………………….
Kamati ya Baraza laWawakilishi ya
Maendeleo ya Wanawake, Habari naUtalii ya ZanzibarwameitembeleaBodi ya
Utalii Tanzania (TTB) kwa lengo la kudumishaushirikiano na
kujifunzambinumbalimbalizinazotumiwa na
Bodikatikakuvitangazavivutiovyautaliivya Tanzania ndani na nje ya nchi.
MenejaMasoko wa Bodi ya Utalii,
Bw. Geofrey Meenaalitoaufafanuzi wa kina kuhusushughulizinazofanywa na
Bodiikiwa pamoja na namnainavyoshirikiana na Balozi za Tanzania
zilizopokatikanchimbalimbali, Mabalozi wa Hiari wa
Utaliiwanavyosaidiakutangazautalii wa Tanzania katikanchizao,
NamnaBodiinavyoshirikiana na vyombombalimbalivya Habari vya ndani na
njekatikakutayarishavipindivyautalii wa Tanzania. AidhaBw,
Meenaalisisitizakuwamialiko ya Timumaarufu za mchezo wa mpira wa
miguukuwa moja ya njiayenyemanufaamakubwakatikakuitangaza Tanzania
Ujumbehuouliyongozwana Waziri wa
Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Mhe. Rashid Ali
Jumaambayealionyeshakuridhishwanajuhudizinazofanywa na Bodi, alisema
“ziarayetuimekuwani ya
mafanikiokwanitumewezakujifunzamikakatiinayotumiwa na
Bodikatikakutekelezajukumu lake la kutangazautalii wa Tanzania
hasaUtalii wa Ndani”. Pia ujumbehuouliipongezaBodikwakuwana
mipangomadhubiti ya utangazaji pamoja na kutengenezavideo
maalumuinayotumikakuvitangazavivutiohivyokatikamatukiombalimbali ya
kimataifa.
ZiarahiyoIlifanyikatarehe 28/08/2017.
Tags
UTALII