Kamatiya Bunge ya Kudumu ya Katiba
na Sheria imeitaka Tume ya Utumishi ya Mahakama kuendelea kuchukua
hatua za kinidhamu na kisheria kwa watumishi wa Mahakama watakaobainika
kukiuka maadili na kuvunja sheria ili kuendelea kukuza na kuimarisha
imani ya wananchi kwao.
Kauli hiyo ya Kamati imetolewa na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Najma Murtza Giga baada ya
kumalizka kwa kikao kati ya kamati hiyo na Tume ya Utumishi wa Mahakama
na Uongozi wa Mahakama nchini ambao uliongozwa na Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Katiba Bw. Amon Mpanju.
Katikakikaohichokilichofanyikamjini
Dodoma, TumeyaUtuishiwaMahakamailiwasilishakwakamatihiyoya Bunge
taarifayakeyautekelezajikwamwaka 2016/2017.
AkizungumzawakatiwakufungakikaohichoMhe.
Giga
aliiombaTumenaMahakamakwaujumlakuendeleakuimarishautendajikaziwaoikiwanipamojanakufanyakazinaTaasisizaKuzuianaKupambananaRushwanaSekretarietiyaMaadiliyaViongoziwaUmmanchinikwanikufanyahivyokutaimarishaimaniyawananchikwahudumazitolewazonaMahakamanchini.
AwaliakiwasilishataarifahiyoKatibuMtendajiwaTumehiyoBibiEzeiliMteialisemakatikakusimamiamaadilinanidhamuzawatumishiwaMahakamakwamwakawafedha
2016/2017 tumehiyoilijadilinakufanyamaamuzijuuyamasuala 76
yanidhamukwawatumishiwakadambalimbaliambapo 72
walifukuzwakazinawenginewannewalirejeshwakazini.
Akizungumziachangamotokatikakushughulikiasuala
la ukosefuwamafunzokwakamatizamaadili,
wamefanyamazungumzonawadaumbalimbaliilikuonauwezekanowakushirikiananaokatikaeneohilo.
PiaamesemawanaendeleakuzungumzanaMakatibuTawalawaMikoanaWilayawenyemamlakayakuendeshaKamatizaMaadilizaMahakimuiliwatengefedhanakutoaelimukwaummajuuyauwepowakamatihizoilwananchiwajuekuwaziponazinafanyakazizake
Tags
MAHAKAMANI