Kufuatia kuvunjwa kwa makubaliano ya kimkataba kati ya serikali ya
Tanzania na ACACIA, hatimaye kampuni hiyo ya uchimbaji madini imeanza
rasmi taratibu za kuukabidhi mgodi wa dhahabu wa Buzwagi baada ya kuwa
na nia ya kutokuendelea na uwekezaji katiaka mgodi huo.
Taarifa zaidi zinasema hatua hiyo imekuja baada ya ACACIA kuamua kwenda
mahakama ya kimataifa kudai fidia baada ya serikali kukiuka mkataba kati
yao.
MWANANCHI NEWS PAPER