BANDA MEDIA BLOG

Kimenuka.. Almasi Yenye Thamani ya Sh. Bilioni 32 Yanaswa Airport ikisafirishwa Kwenda Ubelgiji


Kimenuka.. Almasi Yenye Thamani ya Sh. Bilioni 32 Yanaswa Airport ikisafirishwa Kwenda Ubelgiji
Yana thamani ya shilingi bilioni 32.8 na yalikuwa yakisafirishwa kwenda nchini Ubeligiji.

Madini hayo yamekamatwa katika uwanja wa ndege ukionekana kutolewa Mwadui kwenda Ubeligij chini ya kampuni moja ya Afrika Kusini ambao Naibu Waziri wa Nishati na madini atazungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG