| Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana(kulia) akimkabidhi magodoro 1000
yaliyotolewa na Kiwanda cha Magodoro Asili,Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam,Paul Makonda jana katika kiwanda hicho eneo la Kizota Mkoani
Dodoma.katikati ni Mkurugenzi wa Kiwanda hicho,Haidary Gulamali |