| Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dkt, Halson Mwakyembe akifafanua jambo wakati akiongea na vikundi vya Jogging vilivyoshiriki Bonza la Michezo lililoandaliwa na Muungano Jogging ya Mjini Dodoma wengine ni Naibu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Tulia Aksin na Mbunge wa Kuteuliwa Salma Kikwete [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |