Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Waziri
Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ripoti mbili za Kamati Maalum za
Bunge zilizofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite
hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kupokea ripoti mbili za Kamati Maalum za Bunge zilizofanya uchunguzi
wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim
Majaliwa akizungumza wakati wa kukabidhi ripoti za kiuchunguzi za
Biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza wakati wa kukabidhi ripoti za kiuchunguzi za
Biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Tanzanite hapa
nchini Mheshimiwa Dotto Biteko akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi
ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
Bunge iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi hapa nchini
Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi
ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Mheshimiwa John Pombe Magufuli (katikati), katika picha ya
pamoja na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa (kulia) na Spika wa
Bunge Job Ndugai (koshoto), Mweyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyofanya uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi hapa nchini Mhe
Mussa Azzan Zungu na Mweyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyofanya
uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Tanzanite hapa nchini Mhe Dotto
Biteko na Wajumbe wa Kamati zote mbili (waliosimama) mara baada ya
kuzipokea ripoti hizo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofisi ya Bunge
Tags
TANZANITE NA ALMASI