HomeMAHUSIANO Ni kitu Gani Huwa Unamficha Mpenzi Wako ili Muweze Kudumu Kwenye Mahusiano na Mpenzi Wako byJohn Banda -Wednesday, October 25, 2017 0 Ukweli ni kwamba watu wengi sana wako kwenye mahusiano ama ndoa lakini wenza wao kuna vitu hawavijui na kubaki kuwa siri daima kuhusu wenza wao... Mimi Binafsi huwa napenda kudanganya umri ili kuendana na mpenzi nisiwe mkubwa sana au mdogo sana JE wewe huwa unadanganya nini? Tags MAHUSIANO Facebook Twitter