BANDA MEDIA BLOG

KIKUNDI CHA KINAMAMA CHA MALKIA WA NGUVU CHA MJINI DODOMA CHATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA NYUMBA YA MATUMAINI MIYUJI NA KWA WAGONJWA WA AKILI MIREMBE...

Malkia wa Nguvu wakiingia na misaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha nyumba ya matumaini Miyuji

Malkia hai wakiwakumbatia watoto yatima wa kituo hicho  kwa upendo mkubwa
 
Sister Mkuu Wa Kituo cha Malezi ya watoto Yatima cha Nyumba ya Mungu Miyuji Aurea Kyara akitoa maelezo ya kituo hicho kwa kinamama wa kikundi cha Malkia wa Nguvu cha Mjini Dodoma  [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]


Viongozi wa Kikundi hicho pamaoja na wanachama wakatoa misaada hiyo kwa watoto


Maombi kwa ajili ya watoto na kituo yakafanyika mara baada ya kukabidhi msaada


 




 


 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG