Neymar
(kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Dani Alves na Draxler baada
ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 52 kwa penalti
katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1,
Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Stade Louis II. mjini Monaco. Bao la
kwanza lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 19, wakati la Monaco
lilifungwa na Joao Moutinho dakika ya 81
Tags
MICHEZO KIMATAIFA