BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA MKOA WA DODOMA DKT, BILINITH MAHENGE ATOA SALAMU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA KWA WAKAZI WA MKOA HUO HUKU AKITO ZAWADI YA KRISMASI KWA WATOTO WASIOJIWEZA

Sister Bligitha James wa kituo cha kulele watoto wenye matatizo ya akili akipokea Mbuzi Toka kwa Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jery Mwakyoma kwa ajili ya zawadi ya Sikuku ya Christmas, kwa niaba ya Shirika la Cheshea Home cha Miyuji Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge akizungumza jambo wakati akitoa Salamu za Christimas na Mwaka mpya Ofisini kwake
Viongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Arusha Road mjini Dodoma wakipokea zawadi ya Krismas toka kwa Afsa uhusiano wa ofisi ya mkuuu wa Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya Sherehe ya watoto wasiojiweza waliyopo majumbani wanaosaidiwa na kanisa hilo [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG