Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Kilimba Amepata Ajali na Familia Yake
byJohn Banda-
0
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari
lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya
Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.