Rais Magufuli ameagiza eka 129 za ardhi iliyopo Iyumbu, ambazo
serikali ilikusudia zitumike kwa ajili ya kuzika viongozi zirudishwe kwa
wananchi
-
Rais amesema sheria hiyo ilipitishwa kabla hajawa rais ila ana uhakika
hakuna kiongozi atakayetaka kuzikwa hapo kwani watapenda kuzikwa kwao