
Washtakiwa wote wanne wamekana mashtaka yote waliyosomewa ambapo wamerudishwa rumande mpaka December 13 2017.
Washtakiwa ni Milembe Suleiman (alievisha pete), Janeth Julius Shonza (alievishwa pete) na wengine ni Athen Mkuki alieshtakiwa kwa kosa kusimamia tukio la kuvalishana pete (MC) huku Richard Fabian ameshtakiwa kwa kosa la kusambaza video fupi ya tukio hilo kwenye mitandao
Tags
JINSIA MOJA