
Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishiriki kusafisha shamba lake
la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro alipokuwa kwenye wa
mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo.

Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafanyakazi wake
kusafisha shamba lake liliko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro kwa ajili
ya maandalizi ya kupanda mpunga leo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya
Krismas.
Krismas.

Moja
ya matrekta yaliyoko katika shamba la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe
Luhaga Mpina yakiendelea na shughuli za kulima kwa ajili ya maandalizi
ya kupanda mpunga wakati Waziri huyo (hayupo pichani) alipokwenda
kushiriki shughuli za shamba wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas
leo.(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Tags
WAZIRI MPINA