BANDA MEDIA BLOG

WEAH RAIS MPYA WA LIBERIA, AMUANGUSHA VIBAYA MPINZANI WAKE



Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, AC Milan na Man City, George Weah ametangazwa kuwa raise mpya wa Liberia.
Weah ambaye ni Mwafrika pekee kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia na ila ya Ulaya ameshinda marimba 12 kati ya 15 yaliyofanya uchaguzi.
Mwanasoka huyo nyota wa zamani amemshinda aliyekuwa mpinzani wake mkubwa Joseph Boakai, ambaye amekuwa makamu wa raise wa Liberia kwa miaka 12 na mwisho ameambulia ushindi katika majimbo mawili tu,

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG