Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshikana Mikono na kuomba dua na
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii
Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo
Januari 2, 2018 kumshukuru kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya
kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia
Tags
NGUZA
