Rais John Magufuli amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kuhakikisha
wanashiriki katika shughuli zote za maandalizi ya mikesha hasa inayohusu
kuliombea taifa.

Agizo hilo la Rais Magufuli limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati alipomwakilisha katika Mkesha wa Kuliombea Taifa Dua maalum, uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.
Makonda amesema, Rais Magufuli amewataka wakuu wa mikoa kuwa sehemu ya msaada wa kufanikisha mikesha hiyo, kwani ni kazi kubwa ya kumuita Mungu na amani yake itawale katika taifa ili watu wake waweze kunufaika.
“…ili na mimi mkoa wangu uwe kwanza kutimiza maagizo ya Rais ya kungana na wakristo wote wanapokuwa wakiomba kuliombea taifa, gharama zao kupungua na ikiwezekana kuondoka kabisa…Rais Magufuli wote tunamfahamu mimi sitaki kuchelewa kutimiza maagizo yake,” amesema Makonda.

Tags
RAIS MAGUFULI