BANDA MEDIA BLOG

MAPINDUZI CUP; YANGA YAANZA KWA USHINDI, SHUJAA MAHADHI, SIMBA SARE





Yanga imeanza vizuri michuano ya Mapinduzi kwa kuitungua Mlandege kwa mabao 2-1.


Shujaa wa Yanga katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar ni Juma Mahadhi aliyefunga mabao yote wawili.

Kabla ya mechi hiyo watani wao Simba waliambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Mwenge ya Zanzibar.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG