Afisa wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni
iliyowasilishwa na mmoja wa viongozi wa umma katika ofisi za
Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo siku ya mwisho
ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa katika sheria
husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.(Picha na: Frank Shija
-MAELEZO)
Afisa wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma akimuelekeza jambo mmoja wa viongozi wa umma
aliyefika katika ofisi za Sekretarieti hiyo kwa ajili ya kuwasilisha
fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni leo Jijini Dar es Salaam. .
Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi
aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu
yake.(Picha na: Frank Shija -MAELEZO)
Afisa wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni
iliyowasilishwa na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Omary Mkumba
katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam leo. . Leo ndiyo
siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi aliyetajwa
katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.(Picha na:
Frank Shija -MAELEZO)
Mbunge wa Morogoro Kusini
Mashariki Mhe. Omary Mkumba akisaini fomu yake ya tamko la rasilimali na
madeni mara baada ya kuwasilisha na kukaguliwa na Afisa wa
Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam.
Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuwasilisha fomu hizo ambapo kila kiongozi
aliyetajwa katika sheria husika analazimika kuwa amewasilisha fomu yake.
(Picha na: Frank Shija -MAELEZO)
Tags
MAADILI