Kaburi la miaka zaidi ya 4 400 limegunduliwa mjini Cairo , kaburi bila
shaka liliandaliwa katika kipinidi cha firauni, cheo cha wafalme wa
zamani wa Misri katika historia ya bara la Afrika.
Halid el-Anani , waziri anaehusika na masuala ya kistoria nchini Misri
alifahamisha katika mkutano ambao ulihudhuriwa na mabalozi kutoka
katika mataifa tofauti, alisema kuwa kaburi la miaka zaidi ya 4 400
limegunduliwa El-Cebane.