BANDA MEDIA BLOG

Mwanaume Ajiua Baada ya Kunyinwa Unyumba na Mkewe



NJERU, UGANDA: Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa majina ya Joseph Ojur mwenye umri wa miaka 52 ajiua baada ya kunyimwa unyumba na mkewe

Inaelezwa kuwa Mwanamke huyo aligoma kushiriki tendo la ndoa baada ya Mumewe kubainika ameathirika na VVU

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG