BANDA MEDIA BLOG

No title


Nchi ya Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kushirikiana nao, au unaoshirikiana nao kimwili  wakati huu.

Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza mashine hiyo kwani wapenzi wengi wataacha tabia ya kutoka nje ya ndoa.

Amesema mashine hiyo isiyotumia mionzi ni salama kwa afya ya ubongo wa binadamu, ameendelea kutoa wito kwa nchi za Africa kununua kwa wingi kwakuwa bei yake ni ndogo sana.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG