BANDA MEDIA BLOG

No title

 

Wabunge Wamchangia Majaliwa Shujaa wa Precision Air Mamilioni



Wabunge wa Bunge la Tanzania wamemchangia ‘Shujaa’ Majaliwa Jackson, kiasi cha shilingi 5,023,000, wakimpongeza kwa ujasiri aliouonesha wakati wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba Mkoani Kagera Novemba 6, 2022.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG