Idadi ya waliofariki dunia katika msitu wa Shakahola nchini Kenya sasa hivi imefikia 419 baada ya miaka 16, kufukuzwa katika makaburi mengine hapo Jana Julai 18, 2023.

Mratibu wa usalama Kaunti ya Mombasa, Rhoda Onyacha amesema kwamba wajumbe, wanaoshughulikia ufukuaji wa miili ya Shakahola waliko wafuasi wa mhubiri Paul Makenzi, wanaoendeleza ibada hadi kufa sasa imefikia 419.

Aidha watu waliookolewa mpaka sasa ni 95, na washiriki wa Makenzi 37 wanashikiliwa na vyombo vya usalama na shughuli ya kutafuta makaburi na kuyafukua bado inaendelea.