BANDA MEDIA BLOG

No title

WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA YA UONGOZI WA JUU NA DARAJA LA PILI WA JESHI LA MAGEREZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvisha  Cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Amina Athumani Sumayi wakati alipofunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni (wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya (kulia) na Kamishina Generali  wa Jeshi la Magereza nchini,  Mzee Ramadhani Nyamka, alipowasili kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza


Waziri Mkuu, Kassim akipokea heshima ya gwaride la wahitimu wa Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Gwaride la heshima katika Hafla ya kufunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akimvisha Cheo cha  Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Charles Nyoni wakati alipofungua Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti  cha kufanya vizuri zaidi darasanı  katika Mafunzo ya  Uongozi  Daraja la Pili, Ruth Fungameza kabla ya kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akimvisha Cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza , Martin Mwakyoma wakati alipofunga Mfunzo ya Uongozi wa Juu na Daraja la Pili kwa Askari wa Jeshi la Magereza  kwenye Chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam, Disemba 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG