Hii Ndio Timu ya Tanzania Yenye Wachezaji Wengi AFCON
Hadi muda huu Yanga SC ndio timu pekee ya Tanzania iliyotoa wachezaji wengi zaidi watakaowakilisha mataifa yao kwenye michuano ya AFCON inayofanyika Ivory Coast mwezi huu.
• Diarra _______[Mali ]🇬🇳
• Aziz Ki ______[ Burkina Faso ]🇧🇫
• Musonda ____[Zambia] 🇿🇲
•Bacca________[ Tanzania] 🇹🇿
• Mudathir _____[Tanzania] 🇹🇿
• Metacha _____[ Tanzania]🇹🇿
• Mwamnyeto __[Tanzania] 🇹🇿
• Job__________[Tanzania]🇹🇿
Kwa upande wa Tanzania majina yanaweza kupungua kama Kocha mkuu
atakata jina la yoyote hapo kwenye orodha ya mwisho itakayotangazwa hivi
karibuni.
.jpeg.webp)