BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA JACOB MKUNDA ATOA MKONO WA POLE KWA RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  (JWTZ) Jenerali .Jacob John  Mkunda  akizungumza na kutowa mkono wa pole alipofika nyumbani kwa Mhe.Rais Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa  ajili ya kuhani leo,5-3-2024, kwa kufiwa na Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ikulu)

  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali. Jacob John Mkunda, alipofika nyumbani kwa Mhe. Rais Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 5-3-2024,kwa ajili ya kuhani na kutoa mkono wa pole kwa kufiwa na Baba yake Mzazi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG